Moja kati ya utambulisho muhimu wa biashara yoyote ni nembo ya biashara, kwetu sisi nembo ya biashara ni muhimu kama ilivyo umuhimu wa watumiaji wetu.

Kuliona hilo baada ya kupitia mitindo mbalimbali hatimaye tumepata aina moja ya Logo ambayo popote utakapo iona basi fahamu kuwa hiyo ni Kwenye Bio.

Tunapenda kuitambulisha kwenye logo mpya kabisa ya Kwenye Bio Link. Unaweza kutumpa maoni yako unaonaje Logo hii.

Toa Maoni Yako Hapa.